Naacha kufundisha mpira – Julio. Jamhuri Kihwelu 'Julio' Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Mwadui inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara Jamhuri Kihwelu amesema huenda akaacha kufundisha mpira kwa madai ya timu yake kuonewa na waamuzi. Read more about Naacha kufundisha mpira – Julio.