Wakimbizi wanaohusika na uhalifu wapewa onyo

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Projest Rwegasira ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na tasisi zenye jukumu la kupokea wakimbiza mkoani Kigoma kuhakikisha wakimbizi wanaishi kwa kuzingatia kanuni taratibu na sheria

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS