Simba yang'ang'ania kufanya mkutano wake wiki hii Geoffrey Nyange 'Kaburu' Uongozi wa Klabu ya Simba umewataka wanachama kuhudhuria mkutano unaotarajiwa kufanyika Desemba 11 mwaka huu ili kila mwenye wazo aweze kuchangia kwa maendeleo ya klabu. Read more about Simba yang'ang'ania kufanya mkutano wake wiki hii