Kila mtanzania kupimwa matumizi ya dawa za kulevya
Prof Samuel Manyele - Mkemia Mkuu wa Serikali akiwa na ya Studio za EA Radio
Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali imesema itaanza kuwapima wananchi kupitia makundi mbalimbali wakiwemo wanafunzi kubaini endapo wanatumia dawa za kulevya ili hatua stahiki zichukuliwe.