Judo kuunda timu ya taifa kwa michuano ya vilabu
Chama cha Judo nchini JATA kimesema, mara baada ya kumaliza mashindano ya kitaifa ya mchezo huo hivi sasa wanaendelea na maandalizi ya mashindano ya vilabu yanayotarajiwa kuanza Desemba 18 mwaka huu visiwani Zanzibar.