Diwani Athuman aapishwa leo kuwa RAS Kagera

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha kamishna Diwan Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 22,2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Kamishna wa Polisi Diwani Athuman Msuya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS