TFF yaandaa mchezo maalum msiba wa Ismail Khalfan
Timu za Kagera Sugar na Mbao FC zinataraji kukutana Jumamosi ya Desemba 10 katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza katika mchezo maalum wa kirafiki kwa ajili ya rambirambi za kifo cha mchezaji Ismail Khalfan.