Waalimu watakiwa kutumia mwongozo wa adhabu
Waziri wa Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof. Joyce Ndalichako amewataka waalimu kufuata mwongozo wa adhabu kwa wanafunzi kama ilivyoanishwa katika sheria ya dhabu ya mwaka 2012 kwa wanafunzi wanaokiuka maadili pamoja na kutenda makosa ya jinai