Wafanyabiashara wafunguka kuhusu bei za sikukuu
Wafanyabiashara wa mchele katika soko la Mapinduzi lililopo Mwananyamala Jijini Dar es Salaam wameahidi kutopandisha bei ya mchele katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kama ilivyo katika masoko mengine