EATV Awards yanoga kabla ya tukio lenyewe

Miongoni mwa watakaokabidhi tuzo kesho ni Tbway 360 kutoka 5Selekt ya EATV akiwa nyota wa Bongo Movie, Lulu

Matayarisho ya tukio kubwa na kihistoria la utoaji tuzo kwa sanii wa muziki na filamu Afrika Mashariki yamekamilika, na kinachosubiriwa ni muda tu ufike, ili historia iandikwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS