Vijana 10 kutoka Mbeya wafuzu majaribio Azam FC
Vijana 10 wenye umri chini ya miaka 17, wamefanikiwa kuchaguliwa kwenye majaribio ya wazi yaliyoendeshwa na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, jana Jumamosi katika Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.