Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha Kiluwa Still Group cha Mlandizi Pwani Novemba 19, 2016.
Waziri Kassim Majaliwa ametoa siku 18 kwa Mkandarasi wa umeme kwenye kiwanda cha Kiluwa Steel Group mkoani Pwani awe amemaliza kazi ya kuweka ume mkubwa ili kiwanda hicho kianze kazi.