Afisa mtendaji wa kata mbaroni kwa ubakaji
Afisa mtendaji wa kata ya mkuyuni Wilayani Nyamagana mkoani Mwanza James Chiragwire (42) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumbaka mtoto ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Nyabulogoya darasa la tatu mwenye umri wa miaka 11 jina limeifadhiwa