Amfungia ndani mtoto na kumtesa kwa miezi minne Ahmed Msangi - kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Mwanamke mmoja wilayani Sengerema mkoani Mwanza amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumfanyia ukatili mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi miwili. Read more about Amfungia ndani mtoto na kumtesa kwa miezi minne