Tanzania kukabiliwa na uhaba wa nyama na maziwa
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imeeleza kuwa kushindwa kuwekeza kikamilifu katika sekta ya ufugaji nchini kutapelekea sekta hiyo kushindwa kuondoa umasikini, uhaba wa chakula, kukuza uchumi na kuchochea uendelezwaji wa viwanda.