Bibi amlisha kinyesi mjukuu wake, Mwanza
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Amina Hamisi (56) mkazi wa mtaa wa mahina kata ya Butimba Jijini Mwanza, anashikiliwa na polisi baada ya kumlazimisha mjukuu wake aliyejulikana kwa jina la Rehema Sadiki mwenye umri wa miaka 7 kula kinyesi.