Moses machali wakati akigombea ubunge kupitia ACT Wazalendo.
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia chama cha NCCR Mageuzi (2010-2015) na baadaye kuhamia chama cha ACT Wazalendo mwaka 2015 Moses Machali, leo ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)