TFF yazionya Yanga na Azam michuano ya kimataifa
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limevitaka vilabu vya Yanga na Azam ambavyo vitashiriki michuano ya kimataifa kukamilisha mapema zoezi la kujaza fomu ambazo zinawasaidia kupata leseni za kushiriki michuano hiyo kutoka Shirikisho la Soka Afrika CAF