Upungufu wa marubani waikwamisha ATCL

Moja kati ya ndege mpya zinazotumiwa na ATCL

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limekiri kuwepo kwa changamoto mbalimbali zikiwemo ucheleweshwaji wa ndege wakati wa kutoa huduma katika maeneo ambayo yalipaswa kuhudumiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS