Wasichana 3 kati ya 10 wamenyanyaswa kingono
Utafiti uliofanywa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto UNICEF mwaka 2011 unaonesha watoto 3 wa kike kati ya 10 na mtoto 1 kati ya watoto 7 wa kiume wenye umri kati ya miaka 13-24 wamewahi kufanyiwa ukatili wa kingono.