Jumanne , 13th Dec , 2016

Mwanamuziki Bora wa Kiume Afrika Mashariki kwa mujibu wa Tuzo za EATV, Alikiba amewataka wapenzi na mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwa ajili ya ngoma mpya ikiwemo 'Aje Remix'

Alikiba (katikati)

Alikiba atoa taarifa hiyo mara baada ya ngoma hiyo kumpatia tuzo tatu tofauti katika tuzo hizo, ambazo ni Wimbo Bora wa Mwaka, Video Bora ya Mwaka na Mwanamuziki Bora wa Kiume.

Alikiba pia amezungumzia utaratibu wake wa kuchelewa kutoa ngoma, akisema kuwa ni kutokana na thamani ya muziki wake.

Msikilize hapa:- 

 

 

Tags: