Jumatatu , 23rd Feb , 2026

Kwa anachofanya rapa NBA Young Boy ni kupigia mistari tu ile kauli inayosema nendeni mkaijaze dunia.

Picha ya msanii NBA Young Boy na baadhi ya watoto wake

Unaambiwa rapa huyo wa Marekani akiwa na miaka 24 tu tayari ana watoto 13 kwa wanawake 10 tofauti aliowahi kuwa nao.

Na mtoto wake wa 13 amempata siku ya jana Jumapili baada ya mkewe Jazlyn Mychelle kujifungua mtoto wa kike ambapo walishea taarifa hiyo kupitia Insta Story zao.