Magufuli atema cheche
Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Mambo ya Nje na Mabalozi wote wanaoiwakilisha Tanzania kutojihusisha kuwatetea watanzania waliofungwa kwa makosa ya dawa za kulevya katika nchi mbalimbali na badala yake waache sheria zichukue mkondo wake.