Yanga yafanya mauaji Comoro Mechi ya Ngaya na Yanga nchini Comoro Mabingwa wa Tanzania, Yanga SC imefanya mauaji nchini Comoro kwa kuiporomoshea kipigo kitakatifu Ngaya Club ambao ndiyo mabingwa wa nchi hiyo katika mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Read more about Yanga yafanya mauaji Comoro