Mvua yaua watu wawili, yajeruhi 26 kanisani Picha: Maktaba Watu wawili wamefariki dunia wakiwa kanisani katika ajali ya mvua iliyokuwa na upepo mkali huku wengine 26 wakijeruhiwa, wilayani Magu mkoani Mwanza. Read more about Mvua yaua watu wawili, yajeruhi 26 kanisani