Tanzania ya viwanda inamuhitaji mwanamke: Serikali
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Ili kufikia Tanzania ya viwanda nchi inahitaji kuongeza kasi ya kuhakikisha wanawake wanawezeshwa kiuchumi, wanashiriki katika ajira na kukomesha ukatili dhidi yao