TID awaomba radhi watanzania

TID

Msanii TID amefunguka na kuwaomba radhi Watanzania kutokana na tabia yake ya kutumia dawa za kulevya kwani anaamini kuwa akiendelea kutumia dawa hizo hatakuwa mfano bora hata kwa mtoto wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS