Jaji mmoja asikiliza kesi 478 badala ya 178

Kaimu Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma

Kaimu Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma, amesema moja ya sababu ya kuchelewa kwa mashauri mahakamani ni upungufu wa watumishi, hususani Majaji ambao kila mwaka hupungua kutokana na kustaafu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS