Pacquiao ataka mashabiki wamchagulie bondia Manny Pacquiao Bingwa wa dunia wa mkanda wa WBO uzito wa welterweight, Manny Pacquiao amewaomba mashabiki wake wa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kumchagulia bondia wa kupambana naye katika mchezo ujao. Read more about Pacquiao ataka mashabiki wamchagulie bondia