Maajabu ya Barcelona

Kiungo wa Barcelona Sergi Roberto akiifungia timu hiyo bao la 6 dakika ya 90+4 katika mchezo wa Mabingwa Ulaya uliopigwa usiku wa kuamkia leo dhidi ya PSG na kumalizika kwa 6-1, bao lililoiwezesha Barcelona kutinga robo fainali kwa jumla ya mabao 6-5

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS