Auawa kwa tuhuma za wizi wa mlango wa mbao

Ahmed Msangi - RPC Mwanza

Mtu mmoja mwanaume ambaye hakufahamika jina, ameauwa kwa tuhuma za wizi wa mlango, katika mtaa wa Mahina – Kanyerere Kata ya Butimba Wilayani Nyamagana jijini Mwanza  

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS