Sianga kuanza na mahakimu waliovurunda kesi
Vita dhidi ya Dawa za Kulevya sasa imeshika kasi, mara baada ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Dkt. Rogers William Sianga kutangaza kuanza na majaji na mahakimu waliovurunda kwenye kesi zinazohusu dawa za kulevya