Makonda aagiza Chidi Mapenzi akamatwe

Chidi Mapenzi akiwa mke wake Shamsa Ford siku ya ndoa yao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameagiza kukamatwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini Chidi Mapenzi ambaye ni mume wa msanii maarufu wa filamu nchini Shamsa Ford kwa ajili ya mahojiano kuhusu dawa za kulevya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS