Banda aomba radhi kwa kumtwanga mchezaji Kagera
Mlinzi wa kati wa Simba, Abdi Banda ameomba radhi kwa mashabiki wa soka nchini kwa kitendo chake cha kumpiga ngumi, kiungo wa Kagera Sugar, George Kavilla Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

