Ubunge EALA
Baada ya wagombea wawili wa Bunge la Afrika Mashariki Lawrence Masha na Ezekiah Wenje kutoka CHADEMA kukataliwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watakwenda kudai haki yao mahakamani
