Stan Wawrinka ampiga Norrie nyumbani kwake
Mcheza tenisi Stan Wawrinka, ametinga raundi ya pili ya michuano ya 'Fever-Tree' inayoendelea jijini London baada ya kumwondoa Cameron Norrie wa Uingereza kwa seti (6-2 6-3) kwenye mchezo uliomalizika jioni hii.