Federer ammaliza mpinzani wake Roger Federer ameshinda ubingwa wa michuano ya tenisi ya 'Mercedes Cup' baada ya kumshinda mpinzani wake Milos Raonic kwenye mchezo wa fainali uliomalizika jijini Stuttgart, Ujerumani jioni hii. Read more about Federer ammaliza mpinzani wake