“Serikali sasa imejifunza”- Nape Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye, amesema kuwa mapendekezo ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019 imekuwa nzuri na ipo kimkakati zaidi ukilinganisha na bajeti za miaka miwili iliyopita. Read more about “Serikali sasa imejifunza”- Nape