Mtuhumiwa wa mauaji UDOM apatikana Mbingu
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limefanikiwa kumkamata John Mwaisango, mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Bi Rose Mdenye ambaye alifariki Dunia baada ya majeraha ya visu maeneo mbalimbali katika mwili wake.