Mbowe adondoka ghafla, alazwa Muhimbili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kudondoka ghafla alfajiri ya leo kwa mujibu wa wakili wake Jeremiah Mtobesya. Read more about Mbowe adondoka ghafla, alazwa Muhimbili