“Unaweza usiipende sura ya Magufuli”- RC Mongella
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amesema kuwa hakuna sababu ya msingi kwa mtu yeyote nchini ambaye ana hoja za kutilia shaka utendajikazi wa Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli labda kuwe na sababu nyingine ambazo ni nje ya utendajikazi.