Kichaa achoma ofisi ya Kikwete Ofisi ya Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete jana jioni imeteketea kwa moto na kusababisha uharibifu mkubwa ambao bado thamani yake haijafahamika lakini jengo lote limeteketea. Read more about Kichaa achoma ofisi ya Kikwete