Nikki wa Pili amjibu Master J Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nikki wa Pili, amesema ‘kiki’sio kigezo pekee cha msanii kufanikiwa katika soko la muziki wa sasa, bali kuna mambo mengi ya kisanaa anayopaswa kuyafuata ili aweze kufikia malego yake. Read more about Nikki wa Pili amjibu Master J