Gabo atwaa Tuzo nyingine, aiita ya kidunia
Muigizaji nguli wa filamu Tanzania Gabo Zigamba ametunukiwa tuzo ya ushindi katika kipengele cha muigizaji bora wa kiume kupitia filamu aliyoigiza ya ‘SUMU’ kwenye tamasha la ZIFF lililofanyika visiwani Zanzibar.