Rais Magufuli atumbua na kuteua mmoja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Bw. Fadhili Nkurlu kuanzia leo Julai 15, 2018. Read more about Rais Magufuli atumbua na kuteua mmoja