''Mwakani tutaongeza timu'' - St. Joseph
Nahodha wa timu ya Kikapu ya St. Joseph Etiene Elijjah Ismael, amesema mwakani wanampango wa kuongeza timu kwenye michuano ya Sprite Bball Kings kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengi wa mchezo huo chuoni hapo ambao hawawezi kucheza katika timu moja.