Giza latanda CHADEMA, mgombea atoweka Giza la sintofahamu ladaiwa kutanda Mkoa wa Iringa, ikiwa ni baada ya mgombea wa udiwani kwa tiketi ya CHADEMA kutojulikana alipo baada ya kuchukuliwa na na watu wasiojulikana mapema ya leo. Read more about Giza latanda CHADEMA, mgombea atoweka