Gor Mahia yafungiwa miaka miwili Kikosi cha Gor Mahia Baraza la vyama vya michezo Afrika Mashariki na kati CECAFA limeifungia klabu ya Gor Mahia kushiriki michuano ya Kagame Cup kwa muda wa miaka miwili. Read more about Gor Mahia yafungiwa miaka miwili