Dilunga na Banka si kitu -Mtibwa Sugar
Msemaji wa timu ya Mtibwa Sugar,Thobias Kifaru amefunguka kuwa hawatiwi uwoga na kitendo cha kuondoka kwa wachezaji wao wawili Mohammed Issa Banka na Hassan Dilunga kuelekea katika klabu kongwe za Simba na Yanga.