"Tendeni haki kwa vyama vya upinzani" - Karua
Kiongozi wa Chama cha People's Liberation Part (PLP), kutoka nchini Kenya, Wakili Martha Karua amehudhuria kesi ya uhaini, inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Dar es Salaam.